Miradi ya Maendeleo

Idara ya Elimu imepiga hatua kubwa sana kimaendeleo katika maswala ya miundombinu kama inavyooneshwa na Jedwali hapo chini.

Miundo mbinu Idadi (2009) Uwezo (2009) Idadi (2018) Uwezo (2018)
Mabweni
11
890
18
1456
Madarasa
23
1200
30
1565
Nyumba za watumishi
23
30
33
48
Maktaba
5
158
6
190
Majiko na Mabwalo ya chakula
4
157
6
1585
Ofisi
41
41
45
45
Majengo ya Ibada
3
1800
5
8600
Majengo ya Zahanati
0
2
Majengo mengine
23
45
Aina ya Mradi Idadi Kiwango
Mashamba
10
Ekari 629
Viwanja
14
Ekari 114
Maduka
5
Mifugo
Ng’ombe 4, nguruwe 57, kuku 376 na vifaranga 80, bwawa 1 la samaki, mbuzi 10
Zahanati
1
Mashine za Kusaga
6
Vyuo vya ufundi
1
Magari
12

Mipango an maono ya mbele ya Idara ya Elimu katika miaka 10 au 15 ijayo:

    1. Uwezo wa kuzalisha watumishi wenye nguvu za vitendo kama Kanisa la Matendo ya Mitume. Kuwe na mtaala utakao jumuisha mafunzo ya nadharia na vitendo ambapo katika mihula 9 ya stashahada mwanachuo asome mihula saba, mhula wa sita katika mhula wa pili asirudi chuoni aende kwenye masomo ya vitendo shambani na walimu watafuatilia kuona ufanisi wa huduma. Katika mhula wa mwisho mwaka wa tatu kufanyike tathmini na mapendekezo ya kuboresha huduma za wanafunzi hao. Katika mtaala kuwe pia na masomo yanayofunza juu ya stadi za maisha kama vile ujasiliamali ili mtumishi aweze kukabiliana na mazingira ya kiutumishi. Kuwe na mkakati madhubuti wenye motisha ya kuwavuta watumishi kutamani kujiunga na vyuo vyetu na hivyo kuwa na ongezeko kuwa la wanafunzi sawasawa na maono ya Mpango Mkakati wa 2009-2018.
    2. Ukamilishaji wa miradi ambayo haikukamilika 2018-2019. Kumamilisha maono ya mradi wa magari kwa walimu.
    3. Kauli lengo. “Developing practically Servants Leaders Empowered by the Holy Spiriti to Reach the Nations.”
    4. Kauli mbiu: “Harvest for the Lost………….is the Reason of our Being”.